AZMINA

AZMINA ni Mtoto mwenye umri wa miaka 6 anaeishi kinyasini mzambarau mbata ZANZIBAR. Mama yake anaitwa AMINA MABROUK nae ni mgonjwa wa akili. Baada tu ya bi Amina kupata uja uzito baba yake Azmina alimtelekeza na kwenda kusiko julikana

Siku moja nilipigiwa simu na watu wafamilia yake azmina na kisha kuombwa na imam wa eneo hilo kwenda kukuangalia mtoto huyo
Nilikutana nae kwa mara ya kwanza trh 22/5/2019

Trh 28/5/2019 tulimpeleka Muhimbili
Trh 18/07/2019 alipata passeport yeye na mjomba wake kwaajili ya kusafiri kuelekea india

Safar yeke ya kwanza india : trh 3/9/2019 alikaa huko mwezi mmoja na week na kisha kurudi Tz

Safari yake ya pil India: 23/02/2019 na akarudi Tz trh 6/3/2019

Leave a Comment