ABDALLAH MUGALU

ABDALLAH MUGALU ni mtoto kutoka uganda Ana umri wa miaka 5

Mara ya kwanza kukutana nae ilikua trh 27/02/2020 jijini kampala ambapo mama yake aliomba tumsaidie hivyo tukaanza mchakato wa kutafuta passport ili waweze kusafir kutoka uganda mpk tanzania. Alhamdulilah tulifanikiwa kuwasafirisha kwa ndege na trh 08/02/2020 waliwasili Dar es salaam na trh 20/02/2020 alilazwa hospitali ya Muhimbili. Hospital hapo alikaa kwa muda wa mwezi mmoja na week mbili na akaruhusiwa kurudi nyumban trh 26/03/2020

Garama yake yote toka kuondoka kampala mpaka kuwasili Dar na matibabu

11,000,000 tzs (4,743.42 USD)

Leave a Comment